M Mkulima JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 1,540 Reaction score 2,546 Jan 12, 2026 #1 Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Apr 11, 2026 #2 Nenda Mwakaleli,Busokelo,Rungwe utapata mkuu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 12, 2026 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw