Natafuta Ng'ombe wa maziwa

Natafuta Ng'ombe wa maziwa

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,183
Reaction score
1,322
Nataka kufuga ngomba wa maziwa wa kisasa katika mkoa wa Tanga . nisaidieni ngombe aina hii nitawapata wapi katika mkoa wa Tanga. Nahisi kuna vituo vyauzalishaji. Natanguliza shukrani
 
Nataka kufuga ngomba wa maziwa wa kisasa katika mkoa wa Tanga . nisaidieni ngombe aina hii nitawapata wapi katika mkoa wa Tanga. Nahisi kuna vituo vyauzalishaji. Natanguliza shukrani

ninao wanne nataka milioni nne wote niko moshi
N
 
kwa kawaida ng,ombe hawezi kutoa maziwa mengi wakati humpi lishe ya kutosha.
Kwa hio atatoa maziwa kulingana na jinsi unavyomuhudumia

wastani unapata lita mgapi kwa ngombe mmoja ?
 
Kwa kawaida ng,ombe hawezi kutoa maziwa mengi wakati humpi lishe ya kutosha.
kwa hio atatoa maziwa kulingana na jinsi unavyomuhudumia
Apolinary hiyo ni kweli ila kulingana na aina ya ng'ombe kwa kawaida huwa tunajua wanaweza kutoa maziwa lita ngapi kwa mkamuo
 
Tanga njia rahisi kupata nenda Tanga Fresh kiwandani omba kuonana meneja atakuelekeza au hapo mjini mtafute Bw. Mahadhi Meneja wa Union ya wafugaji au nenda Maramba kutana na viongozi wa Ushirika wa wafugaji utapata bila shida
 
Na mie nahitaji ng'ombe wa maziwa nipo dar es salaam, naombeni taarifa wakuu wapi ntapata ng'ombe
 
Back
Top Bottom