Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kufuga ngomba wa maziwa wa kisasa katika mkoa wa Tanga . nisaidieni ngombe aina hii nitawapata wapi katika mkoa wa Tanga. Nahisi kuna vituo vyauzalishaji. Natanguliza shukrani
mkuu uzalishaji wake wa maziwa ukoje?ninao wanne nataka milioni nne wote niko moshi
N
ninao wanne nataka milioni nne wote niko moshi
N
vipi utoaji wao maziwa
kwa kawaida ng,ombe hawezi kutoa maziwa mengi wakati humpi lishe ya kutosha.
Kwa hio atatoa maziwa kulingana na jinsi unavyomuhudumia
Apolinary hiyo ni kweli ila kulingana na aina ya ng'ombe kwa kawaida huwa tunajua wanaweza kutoa maziwa lita ngapi kwa mkamuoKwa kawaida ng,ombe hawezi kutoa maziwa mengi wakati humpi lishe ya kutosha.
kwa hio atatoa maziwa kulingana na jinsi unavyomuhudumia
wastani unapata lita mgapi kwa ngombe mmoja ?
Tanga njia rahisi kupata nenda Tanga Fresh kiwandani omba kuonana meneja atakuelekeza au hapo mjini mtafute Bw. Mahadhi Meneja wa Union ya wafugaji au nenda Maramba kutana na viongozi wa Ushirika wa wafugaji utapata bila shida