Natafuta Ngozi za Mbuzi, Kondoo na Ngo'mbe zinahitajika.

Felix

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
903
Reaction score
797
Na nunua ngozi za ngo'mbe, mbuzi na kondoo. ziwe zimekaushwa kwa kuwekewa chunvi.
zisiwe na chapa za moto
zisiwe zimetobolewa kwa visu wakati wa uchinjaji. niko dar ila popote zilipo nchini kuna mawakala wangu watakufuata.

ni pm tafadhari
 
Ujasiriamali at higher level, nimeipenda hii.
 
Bei gani mkuu weka wazi!mimi naweza kukupatia nyingi tu.
 
Na nunua ngozi za ngo'mbe, mbuzi na kondoo. ziwe zimekaushwa kwa kuwekewa chunvi.
zisiwe na chapa za moto
zisiwe zimetobolewa kwa visu wakati wa uchinjaji. niko dar ila popote zilipo nchini kuna mawakala wangu watakufuata.

ni pm tafadhari

Weka ofa kutokana na grade tuwape vijana kazi
 
Back
Top Bottom