Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
148
Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu!

Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au mikoa ya jirani, manake shamba lipo Morogoro. Tafadhali kama unazo au unafahamu wapi naweza pata, unaweza nijibu hapa au ukaniandikia kwa WhatsApp +255 712 075 845.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!
 

Attachments

  • Nguzo.png
    Nguzo.png
    176.8 KB · Views: 44
Back
Top Bottom