Natafuta njia nzuri ya kusafirishia abiria

cpb

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
156
Reaction score
87
Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi.

Gari yangu ina uwezo wa kubeba abiria kuanzia 5 Hadi nane hivi hata kama ni rough road walau pawe pazuri ukitaja njia kumbuka kuweka na km kumbuka stafuti dereva naendesha mwenyewe
 
Sehemu ambapo coaster haziendi Mkuu ndo natafuta
 
Kama hutojali nenda njia ya Igunga to Dodoma au Moshi/Ausha, Kahama/Mwanza,au Moshi/Tanga unakua unaanza safari saa tano usiku.

Kuna abiria wengi sana hiyo mida watu watano unapata chap. pia unaweza kupata connection nzuri kwa wazee wa kahawa barabarani (wanaokesha wale)
 
Utaiharibu gari mapema sana na hutapata faida, nikushauri utafute taratibu za kujiunga na Uber au Bolt kwa Dar es Salaam.

Unaweza kupata walau faida na gari likaendelea kuwa zima.
 
Unapatikana wapi?
 
M
Utaiharibu gari mapema sana na hutapata faida, nikushauri utafute taratibu za kujiunga na Uber au Bolt kwa Dar es Salaam.

Unaweza kupata walau faida na gari likaendelea kuwa zima.
Mkuu vipi kwa dodom naweza jiunga
 
Kapige Kasulu to Buhigwe/ Kasulu to Kigoma mjini.๐Ÿšถ๐Ÿšถ
๐—›๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ต๐—ฎ, ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜€๐—ถ๐—ผ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ป๐˜๐—ผ, ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—น๐˜‚ ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐˜‚๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ
 
Pigia uber tu gari ya lami kwa lami hiyo
 
Ee mkuu afike mpaka Mugombe-Makere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ