Natafuta nyimbo za KKKT Kimara, msaada kwa mwenye nazo

Natafuta nyimbo za KKKT Kimara, msaada kwa mwenye nazo

Amadoli

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
2,544
Reaction score
2,265
Jana nimehangaika kuzitafuta nyimbo za kwaya kuu KKKT Kimara album ya Katika njia ya injili.

Tafadhali mwenye nazo naziomba.
 
Mwenye nazo nyimbo za Katika njia ya injili, Tupo katika safari ya mbinguni duniani zote za KKKT anitumie please.
 
Mimi natafuta kwaya za KKKT za miaka ya 1970 - 1999.

Hasa za ARUSHA MJINI.

Kwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom