Nenda hapo Kimara KKKT zipo.Jana nimehangaika kuzitafuta nyimbo za kwaya kuu KKKT Kimara album ya Katika njia ya injili.
Tafadhali mwenye nazo naziomba.
Mimi natafuta kwaya za KKKT za miaka ya 1970 - 1999.
Hasa za ARUSHA MJINI.
Kwa gharama yoyote.
Naomba unitumie Mkuuninazo hizo mkuu kama zote