Natafuta nyimbo za msanii kipofu

Natafuta nyimbo za msanii kipofu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo

Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani

Nawasilisha
 
Umeeleza juu juu sana.

Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani?

Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani?
 
Umeeleza juu juu sana.

Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani?

Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani?
Msanii ni wa kiume na nadhani ulitamba kuanzia 2000 kuja juu
 
Back
Top Bottom