Natafuta nyumba Dar, 2 bedrooms, bajeti yangu ni 200- 250 Maximum

Natafuta nyumba Dar, 2 bedrooms, bajeti yangu ni 200- 250 Maximum

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
habari zenu wadau.

natafuta nyumba ya kupanga. ambayo ina fit small family. yenye vyumba viwili vya kulala, kitchen, sitting rum, etc

iwe ndani ya fence na mazingira salama kuishi..

nitashukuru sana ikiwa maeneo ya tabata, ubungo, , makongo juu mwanzon, kurasini, changombe na maeneo mengine yenye huduma zote muhim
 
habari zenu wadau.

natafuta nyumba ya kupanga. ambayo ina fit small family. yenye vyumba
viwili vya kulala, kitchen, sitting rum, etc

iwe ndani ya fence na mazingira salama kuishi..

nitashukuru sana ikiwa maeneo ya tabata, ubungo, , makongo juu mwanzon,
kurasini, changombe na maeneo mengine yenye huduma zote muhim

Zipo Kigamboni, moja 200,000 ya pili 250,000. Ni PM
 
cheki hii iko tabata kimanga kodi ni laki 250000 kwa mwezi ilipwe kwa mwaka au 300000 ilipwe kwa miezi 6 ina vyumba viwili vya kulala,jiko,sitting na public toilet ipo ndani ya uzio mawasiliano #0714358610
 

Attachments

  • 2014-09-24 12.59.25.jpg
    2014-09-24 12.59.25.jpg
    568.1 KB · Views: 122
  • 2014-09-30 16.06.44.jpg
    2014-09-30 16.06.44.jpg
    504.6 KB · Views: 119
  • 2014-10-06 12.14.15.jpg
    2014-10-06 12.14.15.jpg
    487.1 KB · Views: 122
  • 2014-10-06 11.53.53.jpg
    2014-10-06 11.53.53.jpg
    208.7 KB · Views: 124
  • 2014-10-06 11.55.36.jpg
    2014-10-06 11.55.36.jpg
    236.1 KB · Views: 109
  • 2014-10-06 11.56.06.jpg
    2014-10-06 11.56.06.jpg
    175.9 KB · Views: 111
  • 2014-10-06 11.54.16.jpg
    2014-10-06 11.54.16.jpg
    214.8 KB · Views: 106
  • 2014-10-06 12.13.38.jpg
    2014-10-06 12.13.38.jpg
    449.2 KB · Views: 100
  • 2014-10-06 11.55.09.jpg
    2014-10-06 11.55.09.jpg
    150.5 KB · Views: 104
Back
Top Bottom