habari zenu wadau.
natafuta nyumba ya kupanga. ambayo ina fit small family. yenye vyumba
viwili vya kulala, kitchen, sitting rum, etc
iwe ndani ya fence na mazingira salama kuishi..
nitashukuru sana ikiwa maeneo ya tabata, ubungo, , makongo juu mwanzon,
kurasini, changombe na maeneo mengine yenye huduma zote muhim