Aisee hii kweli ni JF for lunatics.Yaani hata aibu huoni unatangaza ufuska wako wazi wazi.Kama bado wewe sio Freemason ni heri ukajiunga tu,maana wao haya ndio mambo yao.
Kaombe ushauri kwa John Warker. mpuuzi wa mwisho we.
Hacha ujinga ww kalale kkoo kwny mabox km huna pa kulala ebo!
tunaomba Mods watulinde na hawa wasiojua maana ya jukwaa la utani/vichekesho/udaku.Hivi Jamii Forums Kiwango Kinapanda Au Kinashuka?
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.
Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!