Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Weka mkeka salio linasoma sh ngapi
Ukute mkeo anakulisha hata Mia huna
Huko
Mwanaume ukitaka hata nyumba Sana sambaza rasilimali .k
Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi
Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hivyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi...
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app