Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Nani kakuambia nyumba ndogo hazina maudhi?
1. Hapokei sm na anajua huwezi kuja uko kwa mkeo (paniki zinaanza)
2. Jioni unataka kuondoka anakuaga ataenda club na shostii zake (Presha juu)
3. Jumamosi anakuaga ataenda harusi ila hataweza kurudi atalala huko huko, sa tano na nusu usiku sim yake inazima charge na charger aliacha home (unazimia kabisa).