Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Balaaa,unaweka pesa inazamaa jumla.....unaweza data.Ujenzi usikie tu kuna watu huwa wanajifanya wanapesa kisa anamilik kagar ka 15m ,akiingia kwenye ujenzi miezi mitatu chali ndinga inauzwa na hyo pesa bado boma linadai
Haku specify uzuri huo ni upi kwa hiyo 20m. Hivi unajua hata nyumba ya udongo nayo ni nzuri na unaweza jenga kwa hata hiyo 20mKajenge Yako nzuri Kwa mil.20
Dar ipi?! Kwa maelezo hayo ni kama unataka kusema bei ya viwanja Arusha ni kubwa kuliko Dar es salaam wakati 20M hata kiwanja huwezi kupata.ungekuwa dar 20m unapata nyumba na unahamia ila kwa arusha unaweza kuishia kupata kiwanja
Hiyo unayoijua weweDar ipi?! Kwa maelezo hayo ni kama unataka kusema bei ya viwanja Arusha ni kubwa kuliko Dar es salaam wakati 20M hata kiwanja huwezi kupata.
Ndo maana wakasema Njia ya Mwongo ni Fupi!Hiyo unayoijua wewe
Chanika kiwanja 3m unapata, ila arusha kule mushono mbele ya mwakasege kuvukareli hata m7 unaweza kukosaDar ipi?! Kwa maelezo hayo ni kama unataka kusema bei ya viwanja Arusha ni kubwa kuliko Dar es salaam wakati 20M hata kiwanja huwezi kupata.
Ah! Kumbe Chanika, ambako ukiingia kichwa kichwa utaambiwa ni Chanika kumbe ni Kisarawe! Kama ni viwanja vya aina hiyo Arusha unaweza kuvipata hata kwa 1M. Ni kichekesho kujidanganya eti Arusha viwanja ni ghali kuliko Dar es salaam wakati kasi ya ujenzi kwa Dar ni kubwa maradufu ya Arusha, na demand ya viwanja kwa Dar ni kubwa kuliko Arusha! Mbaya zaidi, wakati Arusha bado kuna maeneo kibao yanayoweza kupimwa viwanja tena wala sio mbali sana na city center, kwa Dar es salaam hayo "maeneo kibao" HAYAPO unless iwe ni more than 30km from the city center!Chanika kiwanja 3m unapata, ila arusha kule mushono mbele ya mwakasege kuvukareli hata m7 unaweza kukosa
ni maeneo gan Arusha viwanja bei rahisi nina nyumba arusha na nina nyumba dar, ukiona unaambiwa chanika ni kisarawe basi wamekuona lofa maana hata kichaa ni rahis kujua!Ah! Kumbe Chanika, ambako ukiingia kichwa kichwa utaambiwa ni Chanika kumbe ni Kisarawe! Kama ni viwanja vya aina hiyo Arusha unaweza kuvipata hata kwa 1M. Ni kichekesho kujidanganya eti Arusha viwanja ni ghali kuliko Dar es salaam wakati kasi ya ujenzi kwa Dar ni kubwa maradufu ya Arusha, na demand ya viwanja kwa Dar ni kubwa kuliko Arusha! Mbaya zaidi, wakati Arusha bado kuna maeneo kibao yanayoweza kupimwa viwanja tena wala sio mbali sana na city center, kwa Dar es salaam hayo "maeneo kibao" HAYAPO unless iwe ni more than 30km from the city center!
You're missing the point! Dalali anaishi chumba kimoja cha kupanga tena Chanika lakini anafahamu bei ya viwanja vya Masaki kuliko wamiliki wa nyumba wa Masaki wenyewe!! Nimekupa maeleo ya kukutaka utumie common sense! Yaani Arusha yenye maeneo mengi zaidi kuliko Dar, lakini population yake ikiwa less than 25% ya population ya Dar halafu bado viwanja vyake viwe expensive kuliko Dar?! Na tungetumia hoja ya kutaja maeneo, halafu nikasema mahali kama Mbweni JKT Block 8 ukitaka 2000 square meter basi angalau uwe na 500M, au bila 1.5B Masaki huwezi kupata hata 2000sqm, mjadala wenyewe si ingebidi uishe hapo hapo?!ni maeneo gan Arusha viwanja bei rahisi nina nyumba arusha na nina nyumba dar,