Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha.
Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk)
Nje kidogo ya mji
sifa:
Eneo liwe lenye Usalama
Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham)
Karibu na shule/kanisa/taasis nk
Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kulingana na eneo lililo patikana.
Kama mtu ana duka anataka kuachana nalo anaweza kuwasiliana naye wakaongea.
Akipatikana mtu nitampa namba za mawasiliano ya moja kwa moja waongee.