Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha.
Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk)
Nje kidogo ya mji
sifa:
Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk)
Nje kidogo ya mji
sifa:
- Eneo liwe lenye Usalama
- Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham)
- Karibu na shule/kanisa/taasis nk
- Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kulingana na eneo lililo patikana.
- Kama mtu ana duka anataka kuachana nalo anaweza kuwasiliana naye wakaongea.