Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Eneo ninalopendelea kuanzia Kinondoni studio kuelekea Morocco.
Budget avail:170-180ml.
Sqm 600+
Pls, inbox for more!
Budget avail:170-180ml.
Sqm 600+
Pls, inbox for more!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafta mwenyewe? Hongera mkuuEneo ninalopendelea kuanzia Kinondoni studio kuelekea Morocco.
Budget avail:170-180ml.
Sqm 600+
Pls, inbox for more!
Nipe hiyo link ya website ya jiji, kuna ramani ya Dar?unaweza kuingia kwenye website ya "Jiji " kwa usalama zaidi mkuu.
Nipe hiyo link ya website ya jiji, kuna ramani ya Dar?
Mkuu lengo ni jema sana, humu tupo wengi sana,pengine kuna ambaye angekuwa na infos bila kupitia dalali maana madalali wanaongeza bei kupindukia mkuu.Madalali wengi sana tena madarali maarufu nchini wew unakuja uku.
DuhHouses & Apartments for Sale in Tanzania ▷ Prices in February 2025 on Jiji.co.tz
Jiji.co.tz✓ 6435 Houses & Apartments for Sale! best deals in Tanzania for sale in February 2025 ▷ Any Houses & Apartments for Sale ❤ Choose from 6435 best offers!jiji.co.tz
Eneo ninalopendelea kuanzia Kinondoni studio kuelekea Morocco.
Budget avail:170-180ml.
Sqm 600+
Pls, inbox for more!
Ipo Kinondoni ipi pia Ina sqm ngapi? Plot yake!View attachment 2575500
Hii hapa 165
Utakutana na madalali mtandao, nyumbavya 70m wanaiuza 210mNipe hiyo link ya website ya jiji, kuna ramani ya Dar?
Mkuu tatizo ndilo hilo, madalali wanaongeza bei mpaka inakuwa kufuru yaani ikibidi mgawane nusu kwa nusu.Utakutana na madalali mtandao, nyumbavya 70m wanaiuza 210m
Nyumba ipo katikati ya Goba kwa Robert na makabe catholic church ( yani unaweza kuingilia njia ya goba au njia ya makabe Catholic Church) na ukafika nyumba ilipo)Ipo Kinondoni ipi pia Ina sqm ngapi? Plot yake!
karibu kwangu boss hamna madalali.Mkuu tatizo ndilo hilo, madalali wanaongeza bei mpaka inakuwa kufuru yaani ikibidi mgawane nusu kwa nusu.
Ipo wapikaribu kwangu boss hamna madalali.