Natafuta nyumba ya kupanga DSM

Natafuta nyumba ya kupanga DSM

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
614
Ndugu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ilala au Magomeni. Nyumba iwe yenye vyumba viwili vya kulala na sitting room na jiko. Naomba msaada wenu ndugu.
 
Tafuta madalali wapo kila mtaa
 
hivi hii thread inastahili kuwa Breaking News????. acha hizo Banaa
 
ilala au Magomeni? unataka kufungua biashara au?, mimi sijuhi kwa nini mtu akiseama ilala au Magomeni mawazo yangu yanakimbila Amana club, Traventine/lango la jiji na mambo ya taarabu na pilika kama hizo,
 
mke wake wa nini sasa na wewe Lutala!!
 
Back
Top Bottom