Natafuta nyumba ya kupanga,iwe ndani ya gheti,maeneo ya mtongani au kwa Aziz ally - dar es salaam.

Natafuta nyumba ya kupanga,iwe ndani ya gheti,maeneo ya mtongani au kwa Aziz ally - dar es salaam.

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,209
Naomba mnisaidie kumtafutia mdogo wangu vyumba viwili maeneo hayo ,sababu ni karibu na kituo chake cha kazi.Anategemea kuhamia tarehe 15 mwezi huu wa 11,2018
 
Back
Top Bottom