House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kimara au Mbezi tangi bovu!

House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kimara au Mbezi tangi bovu!

Nzotu

Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
41
Reaction score
55
Habari wana jamii
Nahitaji nyumba ya kupanga! Iwe ya kuanzia vyumba viwili kimoja kikiwa master itapendeza! Iwe na uzio na iwe ya kupendeza, maji ni muhimu!
Maeneo ni Kimara kuja mpaka ubungo, au Mbezi tangi bovi mpaka makonde!
Offer ni 200,000
Kama kuna mtu anayo anipm
 
Back
Top Bottom