Natafuta nyumba ya kupanga (Kimara/Mbezi ya Africana)

Natafuta nyumba ya kupanga (Kimara/Mbezi ya Africana)

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia.
Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza.

Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala

Tuwasiliane: +255676095799
 
Back
Top Bottom