Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

Joined
Oct 23, 2022
Posts
97
Reaction score
99
Habari wakuu,

Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;

1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium

Nipo tayari kwa bei yoyote.
 
Mpigie huyu dalali.. ndio kazi zake na anaishi riverside

+255711509672
 
Back
Top Bottom