Habari wakuu,
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;
1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium
Nipo tayari kwa bei yoyote.