Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Habari Wakuu,

Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.

~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.

~ Bajeti laki 5 (500,000).

~ Iwe maeneo tulivu

Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.

Najua hapa hakishindikani kitu, msaada wenu kwenye hili WakuuπŸ™.
 
Kwahiyo wenye nyumba wa JamiiForums ndio mmenitosa hivi hivi?
 
Wenye nyumba wa JF ndio kusema hamuoni uzi wangu au...msaidieni kijana wenu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…