Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Maeneo gani hayo mkuu.DeepPond,
niliingia nymba za NHC nilikuwa nalipa 87,000 sasa hivi ni around laki nne lakini nashindwa kuliachia sababu ni eneo very hot in Town...nimemua kukomaa mpaka mwisho!..wanaojua maana yake wamenielewa!