iwe na vyumba 3 au 2 na bei ni laki kwa mwezi.
mahala popote dar kunakofikika na usafiri.
Nataka kuhama hapa nilipo kwani mwanangu mchanga ameugua malaria three times a month na maji yanatuama na mwenyenyumba kagoma kufanya marekebisho ya kuzuia maji kutuama.
kama unaamini unayo taarifa nitumie PM