natafuta nzuri DSM maeneo ya tegeta, boko, bunju etc

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
wanandugu, natafuta shule ya kuhamishia watoto mmoja grade 2 na wa pili ni K3 (kindergatten 3rd year).

shule iwe ni ya english medium, wana option ya school bus, na wanafundisha maadili mema (mimi pia napata nafasi ya kukaa na watoto wangu hasa weekends). nimetafuta CANOSA lakini so far sijapata nafasi.

Fee range 500,000-1,500,000 kwa mwaka kwa kila mwanafunzi.

nitashukuru sana.
 
mod hebu nisaidie ku-edit heading nilimaanisha natafuta shule nzuri dar es salaam zilizopo katika maeneo tajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…