kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
wanandugu, natafuta shule ya kuhamishia watoto mmoja grade 2 na wa pili ni K3 (kindergatten 3rd year).
shule iwe ni ya english medium, wana option ya school bus, na wanafundisha maadili mema (mimi pia napata nafasi ya kukaa na watoto wangu hasa weekends). nimetafuta CANOSA lakini so far sijapata nafasi.
Fee range 500,000-1,500,000 kwa mwaka kwa kila mwanafunzi.
nitashukuru sana.