Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Za siku nyingi wakuu, kama kichwa kinavyojieleza ,
Natafuta office space sqm 15 hadi 25 ambayo ipo vizuri kidogo na angalau iwe na parking , biashara ni consultation budget yangu 500,000-700,000 mwisho, mwenye msaada anichek chap tuone tunafanyaje,, maeneo pendwa ni posta, masaki, kijitonyama, victoria , ile barabara ya mikocheni ya chini kule kote, ila mwenge na sinza chaguo la mwisho,,
Nawasilisha