Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

Paka wng anakaribia kujifungua... km utakuwa bado hujapata Ntakupa free!

Kama ni Urgently nakushauri pita pale COET Cafeteria kuna Paka na UKIONGEA VZR NA MHUDUMU anakukamatia, anakuwekea kwa Box.

NB: Paka wa COET wanadeka sana na wanapenda SELFIE! Pia wanakula Chapati, Mtori na Chips.
 
Niko mkoani, ninao paka wakali kukamata panya.
 
Nunua gundi ya panya wanauza wale wanauzaga simu za panya mtaani
 
Nunua gundi ya panya wanauza wale wanauzaga simu za panya mtaani
Panya wana akili sana, hiyo gundi itakamata vitoto tu!

Dawa ya panya ni PAKA tuuuuu!!!!!!!!

Ukifuga paka hutasikia panya anatembea japo kwa bahati mbaya ndani ya nyumba.

Paka ni efficient mno!
 
Dah! Kwahiyo mkuu tangazo LA paka ndo umeamua kulileta huku yani unamaanisha mwenye paka aje pm sio!
 
Sababu kubwa ya kuwa na panya nyumbani ni kutohifadhi vizuri vyakula. Hakikisha unga na mchele viko kwenye ndoo zenye mifuniko. Chakula kinachobaki kiweke kwenye jokofu. Ukimaliza kuosha vyombo mabaki ya vyakula tupa nje ya nyumba.
 
Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata.

Karibuni.

Naishi Dar es Salaam.
Panya daaslaaam? Basi msela wangu utakuwa unaishi jalalani! Kwa nini usirudi mikoani mkuu?
 
Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata.

Karibuni.

Naishi Dar es Salaam.
Dawa ya panya ni kuziba wanapoingilia.
 
Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata.

Karibuni.

Naishi Dar es Salaam.
Paka wa dar sio kabisa hawali panya wao kazi kuzunguka kwenye ukuta na mapaa ya nyumba hata chini wanaogopa kupita
 
Mshirikina utamjua tu....
Muda wote anawaza mambo hayo tu
Hivi mkuu mtu yupo tayari kufata paka popote alipo,,hata kama mkoa wa pwani...unadhani ni jambo la kawaida?sasa mshirikina ni yule anayesaka paka ? tena kwa gharama yeyote,,,,au mshirikina ni yule anayehoji msaka paka?
 
Ninao paka wazuri sana(mice eaters) wadogo wa miezi 6 nitakuuzia 100,000/= delivery charges utalipa mwenyewe baada ya kufikishiwa mzigo wako hapo unapoishi. Kama upo tayari ni PM
Bei ya mitetea kumi hapo
 
Achana na paka tafuta mlinzi toka pande za nsumbiji ndani ya muda mfupi hutoona hawa viumbe
 
Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata.

Karibuni.

Naishi Dar es Salaam.
Tafuta dawa inaitwa E40 ya mimea. Ina harfu kali sana puliza ndani wanapoingilia au stoo wanakoishi. Pia wekamaeneo yote wanakoishi kama darini nk WATAKIMBIZWA NA HIYO HARUFU.pia mbu na mende watakimbia. Yaani wk mwenye chupa ndogo ndi ufunike kiasi itoe harufu sehem mbambali l. Jaribu ila tahadhari ni sumu kali na harufu kali
 
Mkuu hupati kilaji nn? Mbona baa nyingi zina paka au unataka paka wa namna gan?
 
Kwanza jiulize kwanini panya wapo ndani mwako?
Nyumba ina matundu, hivyo wanatokea nje?
Nyumba ni chafu na haina mpangilio wanaishi na kujiificha humo ndani?
Ukipata jibu tafuta suluhisho la kudumu.
 
Back
Top Bottom