R Rangi 2 JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 353 Reaction score 264 Jul 30, 2020 #41 mathematics said: Kwanza jiulize kwanini panya wapo ndani mwako? Nyumba ina matundu, hivyo wanatokea nje? Nyumba ni chafu na haina mpangilio wanaishi na kujiificha humo ndani? Ukipata jibu tafuta suluhisho la kudumu. Click to expand... Watafuta paka 'paka' ama paka 'mtu'?
mathematics said: Kwanza jiulize kwanini panya wapo ndani mwako? Nyumba ina matundu, hivyo wanatokea nje? Nyumba ni chafu na haina mpangilio wanaishi na kujiificha humo ndani? Ukipata jibu tafuta suluhisho la kudumu. Click to expand... Watafuta paka 'paka' ama paka 'mtu'?