natafuta pango kwa ajili ya madarasa dar

natafuta pango kwa ajili ya madarasa dar

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
jamani bado nahitaji pango au apartment ya kupangisha kwa ajili ya madarasa ,nina mpango wa kufungua education centre.Kama ntapata ya madarasa mawili au matatu siyo mbaya,au hata kama ni nyumba niigeuze ,iwe maeneo ya ubungo,mwenge,kariakoo au posta au kijitonyama ,
 
Back
Top Bottom