Natafuta PANYA maana naona PAKA wangu anajinenepea tu. Analala masaa 24

Natafuta PANYA maana naona PAKA wangu anajinenepea tu. Analala masaa 24

Paka wa dar hao kutwa wanashnda kwenye kideo kupaka poda kama kaka zao. unakuta paka anatumia facebook na insta,[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeh uwiiiiiiiiih
 
Sasa Kama ana hekaheka za kumkosesha kulala unataka afanyaje? ..anyway karibu kwetu tuna ghala za panya Aina zote .kwa Bei tofauti be..tuna wajawazito Hawa kidogo Bei ni kubwa kuliko wengine ingawa hawazidi kwa Bei Kama panya buku..Kuna panya wa kike vibinti hawa bei haiko tofauti Sana na wajawazito.
Kuna panya dume hawa nauza kwa mafungu.
Mwisho kabisa Kuna panya buku hawa bei yao iko juu zaidi kutokana na uhitaji mkubwa kama kitoweo.
Dar nafanya delivery mkoani nakutumia..karibu Sana boss.
 
Huyo paka anafanya kazi yake kwa ufanisi wa hali ya juu kiasi kwamba mtazamaji unaona hafanyi kitu.
Ila siku atakapo sepa ndo gap lake utaliona
 
Back
Top Bottom