Natafuta part time job za jioni kwa mkoa wa Dar es Salaam

Martin Ntuli

Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
6
Reaction score
7
Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift.

Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka.

Asanteni.
 
Mkuu kwa msoto huu, liwalo na liwe. Hata kama ni wa haramu[emoji23] tupewe tu aloo, siku ya pili leo nalalia uji.
Liwalo na Liwe. Kimsingi moments ya kutokuwa na pakujishikiza ni mbaya sana sometimes unaweza kufikiri na kuushia kufanya maamuzi magumu the only na best solution ni kupata cha kufanya.

Wakuu wa vitengo toeni mashavu kwa vijana wenu wa JF kubadilisha maisha ya mtu unatengeneza history ambayo ni unforgettable
 
Indeed brother. Ubarikiwe sana.
Gratitude🙏.
 
Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift.

Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka.

Asanteni.
tembelea taifa gas, oryx na gas plant za vijibweni hukosi kitu. hata bandarini pia ila unatakiwa ujitoe kidogo
 
Mkuu kujitoa kidogo uliyomaanisha hapa ni kutoa ka rushwa kidogo ama? maana mimi nilishawahi kwenda pale Taifa gas kuomba nikaambiwa hakuna.
 
Mkuu tupeni hata hizo😂 njaa itatuua.
Usijirahisishe kiasi hicho 🤣🤣 ni kwel njaa mbaya lkn angalia namna ya kubond na vijana unaoishi nao jiran watakupa ramani.......usijifungie ndani sana nenda maeneo ambayo hua wanatoa fursa za kazi za part time hata kama hazina uhusiano na taaluma yako we fanya safar moja huzalisha nyngn

Usiangalie kazi yenye malipo makubwa sana deal na hizi za kawaida ambayo inaweza kukupa chakula, nauli na Kodi kadri mda utakavokua unaenda utapata nzur zaidi
 
Shukrani sana mkuu, nimekupata vizuri kabisa.
 
Mkuu kujitoa kidogo uliyomaanisha hapa ni kutoa ka rushwa kidogo ama? maana mimi nilishawahi kwenda pale Taifa gas kuomba nikaambiwa hakuna.
Usichoke, utoe kitu chochote kwa walinzi wa getini au vibarua konki kwa ajili ya kazi. Yaani kutoa sio lazima kingi hii dunia imebadilika sana mdogo wangu watu hawamna utu na shida zako hasa sehemu za kupata chochote.
 
Back
Top Bottom