Martin Ntuli
Member
- Aug 2, 2023
- 6
- 7
Kama unayo please nipe na mmNiPM mkuu nikupe mchongo chap
Michongo ya Dar ni kuwa makini nayo aiseee
NiPM mkuu nikupe mchongo chap
Dah!! Mungu awatie nguvu aisee!!Mkuu kwa msoto huu, liwalo na liwe. Hata kama ni wa haramu[emoji23] tupewe tu aloo, siku ya pili leo nalalia uji.
Duh! Hatari sana..Mkuu kwa msoto huu, liwalo na liwe. Hata kama ni wa haramu[emoji23] tupewe tu aloo, siku ya pili leo nalalia uji.
Liwalo na Liwe. Kimsingi moments ya kutokuwa na pakujishikiza ni mbaya sana sometimes unaweza kufikiri na kuushia kufanya maamuzi magumu the only na best solution ni kupata cha kufanya.Mkuu kwa msoto huu, liwalo na liwe. Hata kama ni wa haramu[emoji23] tupewe tu aloo, siku ya pili leo nalalia uji.
Dah!! Mungu awatie nguvu aisee!!
Duh! Hatari sana..
Liwalo na Liwe. Kimsingi moments ya kutokuwa na pakujishikiza ni mbaya sana sometimes unaweza kufikiri na kuushia kufanya maamuzi magumu the only na best solution ni kupata cha kufanya.
Wakuu wa vitengo toeni mashavu kwa vijana wenu wa JF kubadilisha maisha ya mtu unatengeneza history ambayo ni unforgettable
tembelea taifa gas, oryx na gas plant za vijibweni hukosi kitu. hata bandarini pia ila unatakiwa ujitoe kidogoAge 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift.
Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka.
Asanteni.
tembelea taifa gas, oryx na gas plant za vijibweni hukosi kitu. hata bandarini pia ila unatakiwa ujitoe kidogo
Kuna zle kazi ukifika site unabadilisha nguo ukimaliza unaoga unavaa zngn ndo usepe😁😁
Usijirahisishe kiasi hicho 🤣🤣 ni kwel njaa mbaya lkn angalia namna ya kubond na vijana unaoishi nao jiran watakupa ramani.......usijifungie ndani sana nenda maeneo ambayo hua wanatoa fursa za kazi za part time hata kama hazina uhusiano na taaluma yako we fanya safar moja huzalisha nyngnMkuu tupeni hata hizo😂 njaa itatuua.
Usijirahisishe kiasi hicho 🤣🤣 ni kwel njaa mbaya lkn angalia namna ya kubond na vijana unaoishi nao jiran watakupa ramani.......usijifungie ndani sana nenda maeneo ambayo hua wanatoa fursa za kazi za part time hata kama hazina uhusiano na taaluma yako we fanya safar moja huzalisha nyngn
Usiangalie kazi yenye malipo makubwa sana deal na hizi za kawaida ambayo inaweza kukupa chakula, nauli na Kodi kadri mda utakavokua unaenda utapata nzur zaidi
Usichoke, utoe kitu chochote kwa walinzi wa getini au vibarua konki kwa ajili ya kazi. Yaani kutoa sio lazima kingi hii dunia imebadilika sana mdogo wangu watu hawamna utu na shida zako hasa sehemu za kupata chochote.Mkuu kujitoa kidogo uliyomaanisha hapa ni kutoa ka rushwa kidogo ama? maana mimi nilishawahi kwenda pale Taifa gas kuomba nikaambiwa hakuna.