Natafuta Part-time job

Natafuta Part-time job

Blueflower

New Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Habari Wana Jamii Forums.

Mimi ni Binti nipo office flan posta ni secretary wa pale mda mwingi nashinda nimekaa tu mpaka mteja atakapofika

Nilikuwa natafuta kazi ya ziada nikiwa pale nimekaa kama Kuna mtu anakazi zinamlemea tuongee kama ni kutype au kufanya chochote ambacho naweza kufanya Kwa mazingira Yale

Asanteni....
 
Uko vizuri madam.

Back
Top Bottom