Natafuta Partner awe HIV+

Natafuta Partner awe HIV+

Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/29
Naishi/ Mwanza
Dini/ mkristo
Maelezo zaidi njoo PM
KUna maisha baada ya HIV...usitie mkono gizani kisa tu una HIV,una umri mkubwa sana wa kuishi mkuu usijiweke rehani ukatafuta mke kwa kigezo cha HIV.

HIV is no longer a threat.
 
Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/29
Naishi/ Mwanza
Dini/ mkristo
Maelezo zaidi njoo PM
Utapata rafiki
 
Sometimes hizi mada huwa naziona kama ni za kutunga kuchangamsha genge,kwa sababu sehemu za kupatana watu wa aina hii zipo kwanini wahusika wasionane huko?

Mfano,kama mtu ana hiyo hali na huudhuria kuchukua ARVs kwenye vituo vya afya pale si panakuwa na wenzake jinsia tofauti?nadhani nao pia wakiwa na hamu ya kupata wenza sasa kwanini ktk hao hao asimtafute mwenza!tena ndiyo vizuri zaidi maana atachagua kitu anachokitaka tofauti na kwenye mitandao kama hivi hujui atakuja anaefanana vipi.
Hapo kwanza wakikutana ni no story kila mtu na simu yake, hahahah
 
Back
Top Bottom