Rais wa wakulima
Member
- Sep 27, 2015
- 78
- 19
Mambo vp wanabodi natumaini wote ni wazima wa afya njema, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta watu wa kushirikiana nao kwenye biashara, mimi nina blog na Online TV kwa upande wa blog inafanya vizuri kwahiyo naitaji watu tutakao shirikiana nao. Pia kuhusu taratibu zingine njoo pm kama uko tayari.