Bora biashara hii lakini sio kilimo kaka tena kiwe matikiti au vitunguukaribu tufanye partnership kwenye kununua mazao cc amu
Nishawahi kuona ukionyesha mambo mazuri ya kilimo tena kwa picha zaidi vipi kimegeuka au?Bora biashara hii lakini sio kilimo kaka tena kiwe matikiti au vitunguu
Sent using Jamii Forums mobile app
kilimo hapana agriculture is not for everyoneBora biashara hii lakini sio kilimo kaka tena kiwe matikiti au vitunguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa gani hii?Shamba hilo..njoo uwekeze,ukiamua kufuga tumbili ni wewe tu
View attachment 1456908View attachment 1456909
Tabora
πππ
Unapoteza muda unapata faida kidooogo nguvu nyngi nlifanikiwa tikiti nkarudia kulima tena kilichonipata sio cha kusimulia sasa hiv nafanya biashara ya samakiNishawahi kuona ukionyesha mambo mazuri ya kilimo tena kwa picha zaidi vipi kimegeuka au?
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaUnapoteza muda unapata faida kidooogo nguvu nyngi nlifanikiwa tikiti nkarudia kulima tena kilichonipata sio cha kusimulia sasa hiv nafanya biashara ya samaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Chezea kilimo wwNishawahi kuona ukionyesha mambo mazuri ya kilimo tena kwa picha zaidi vipi kimegeuka au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyeomba partnership mwenyewe kalala mbele, usicheze na kilimo baba!kilimo hapana agriculture is not for everyone
Nishawahi kuona ukionyesha mambo mazuri ya kilimo tena kwa picha zaidi vipi kimegeuka au?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahShamba hilo..njoo uwekeze, ukiamua kufuga tumbili ni wewe tu
View attachment 1456908View attachment 1456909