HDMI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 672
- 1,332
Uko sahihi. Mtu anaanza kulima kichwani kajaza faida tupu. Kilimo kina changamoto. Mimi nikishawahi pigwa msimu wa pili wa kulima ila sijaacha maana faida naiona. Tatizo jingine watu wanalima mashamba ya mbali wanaachia wanakijiji usimamizi. Weka mtu wako umlipe na uhudhurie shamba. Kilimo sio cha kufanya kwa remoteKilimo sio kibaya shida Asilimia 90 tunafuata mikunbo ndo shida inapo kuja hapo