Natafuta partner kwenye kiwanda kidogo cha Sembe, Timber, Pwani

Natafuta partner kwenye kiwanda kidogo cha Sembe, Timber, Pwani

KIDESELA

Senior Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
149
Reaction score
91
Kama ilivyo heading, miaka ya nyuma kidogo nilibuni biashara hasa nia ilikuwa kuwa na kiwanda kidogo cha sembe au kuweka machine za kuchana mbao, nilifanikiwa kujenga jengo nikafanya wiring na kuvuta umeme 3phashe yote nilifanikiwa, ila mambo hayakutimia kutokana na mambo kwenda sio,
Sasa nahitaji mtu mwenye mtaji ili tufanye ushirikiano kwenye huu uwekezaji, Eneo ni Kibaha mawasiliano ni +255683819170
Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kaweke kiwanja bondi upate mkopo wa biashara ila usiuguse kwa matumizi binafsi
 
Back
Top Bottom