Natafuta partner wa 3 wa kupanga nao mipango ya biashara

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}
 
Mkuu kwani wewe uko wap?na lengo au wazo liwe la mtaji kati ya bei gani...maana kuna mtu anawazo la kupata mtaji wa elfu kumi awe chinga na mwingne anawaza ni lini kampuni yake inaanza kazi
 
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}
Ikumbukwe mtende kuota jangwan n bahat anyway nipo online karibu tuyajenge nipo hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}
nipo njoo pm
 
Back
Top Bottom