Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}