Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mkuu kwa Sababu za kiu salama bora uje tu pm ili tutambuane kuleMkuu kwani wewe uko wap?na lengo au wazo liwe la mtaji kati ya bei gani...maana kuna mtu anawazo la kupata mtaji wa elfu kumi awe chinga na mwingne anawaza ni lini kampuni yake inaanza kazi
BIASHARA ZA PARNERSHIP SIO NZURI, BORA UFANYE MWENYEWE. PARTNERSHIP MWISHO WAKE MMBAYA KAMA HAMKUTENGENEZA SYSTEM NZURI HASWA MANAGEMENT YA PESA,
Upo sahihi tutalifanyia kaziHATA MIMI NILIANZA TARATIBU NA RAFIKI YANGU KUTOKA MTAJI WA MILIONI 3 MPAKA MILIONI 35, MWISHO UKAWA MBAYA MPAKA LEO HATUONGEI. KUWENI MAKINI KWENYE HANDLING YA PESA. MUAJIRI MUHASIBU
Ikumbukwe mtende kuota jangwan n bahat anyway nipo online karibu tuyajenge nipo hapa darWakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}
nipo njoo pmWakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna ukame,, katika Maana Kua wasiangalie Hali halisi ya maisha ya Sasa {kutoka kupo tu ni akili yako tu}
Tangu nipigwe milion yangu sina hamu tena na upuuzi unaoitwa partnership.BIASHARA ZA PARNERSHIP SIO NZURI, BORA UFANYE MWENYEWE. PARTNERSHIP MWISHO WAKE MMBAYA KAMA HAMKUTENGENEZA SYSTEM NZURI HASWA MANAGEMENT YA PESA,