Natafuta partner wa chanel ya YouTube

Natafuta partner wa chanel ya YouTube

Kama tageti yako ingekuwa wabongo ningekuambia uwekeze kwenye umbea, stori za ngono, na connection faster ungetoka ndio soko la ndani linataka hivyo. Nchi hii Bado Ina wajinga wengi Sana ukiwatumia Kama fusa ujinga wao unakuwa tajiri.
 
Ukiweka stori za athari za mafuriko ya hanang na connection ya wema utaona views watakuwa wanasoma wapi.
 
Kama tageti yako ingekuwa wabongo ningekuambia uwekeze kwenye umbea, stori za ngono, na connection faster ungetoka ndio soko la ndani linataka hivyo. Nchi hii Bado Ina wajinga wengi Sana ukiwatumia Kama fusa ujinga wao unakuwa tajiri.

Target yangu si wabongo ni watu wanaoongea kingereza
 
Back
Top Bottom