Hakika watu watajifunza meng kutoka kwetu...hakika tutakuwa mfano wa kuigwa dunian na safar yetu haitaishia hapa tu bal ntaakikisha tunaufikia wote uzima wa milele
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Baraka, umegeuka kasisi sasa?
Ahahahaha najiandaa kuingia makazi mapya
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
ahaaaa rushwa tena?
Kabla hujaingia inabidi utuite sisi kwanza tusafishe njia then ndio utie miguu yote!
Usiogope mkuu, nikishachonga tu, kitu kinakua ngoma kwa mluzi!Hapana hii njia ntachonga mwenyewe aisee
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona couple za wenzangu hapa cc zinashamiri
ila naomba usinipe mume wa mtu au mpenzi wa mtu ,mi vitu used sitaki.
naahidi mbele yake na jamii yote hii ya cc huyo mtu utakaenipa nitampenda,nitamuheshimu .nitamtiii na kumvumilia kwa hali zote katika maisha yetu yote hapa jamvini
NAWASILISHA
WENU MTIIFU
SMILE
baaado ipo ndo naitafutia mtu
kudadadeki.