Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

kelewuiiiiiiiiiiiiii Smile mie mbafu zangu
daah, utaweza kumlinda kweli awe wa kwako tu
kazi kweli kweli Baba V
 
Last edited by a moderator:
kumbe mume wa mtu !ndo maana nimeona nikushirikishe ..yaaani kidogo tu ningemkubali ndo nilikuwa naandika pm yake hapa

huyo ni ex now tumebak marafiki tu (mshauri wa mahusiano). mrembo nafasi nikuhifadhi
 
Usiogope mkuu, nikishachonga tu, kitu kinakua ngoma kwa mluzi!

Hapana mkuu haujakidh vigezo vya kuwa mchonga njia kwa my smile.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Smile naamin sasa hakuna pingamizi lawewe kuniita mme.Baba V katuachia wenyewe tuamue

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mambo vipi Smile aka bebii. ile bebii ndo nilikua naipenda sana. habari za siku nyingi?. mia
 
Last edited by a moderator:
A/c yangu balaa tupu ya Bishanga haioni ndani. Nilijiwekea visenti kwa àjili ya kilinda mfuko uswisi, mashemeji zake Madame B wakatia majungu.
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa siku zote bado mpaka leo hamna aliyechukua nafasi yangu....kweli mimi ni irreplaceable!!!

tulisubiria tamko la Smile juu ya ndoa yenu kwani nani anapends mambo ya kunatana maana naskia. wewe ni mdogo wake Maji Marefu
 
Last edited by a moderator:
Smile naamin sasa hakuna pingamizi lawewe kuniita mme.Baba V katuachia wenyewe tuamue

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kijana unapaswa kuwa mtulivu, nimeshamaliza kazi...
 
Nashangaa siku zote bado mpaka leo hamna aliyechukua nafasi yangu....kweli mimi ni irreplaceable!!!

tulisubiria tamko la Smile juu ya ndoa yenu kwani nani anapends mambo ya kunatana maana naskia. wewe ni mdogo wake Maji Marefu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…