Natafuta Partner wa Kushirikiana Kuanzisha Kampuni ya Betting (Equity Partnership)

Natafuta Partner wa Kushirikiana Kuanzisha Kampuni ya Betting (Equity Partnership)

Omnilabeltech

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
533
Reaction score
845
Habari wanajamii,

Nimeshajenga software ya betting, system iko tayari kutumika. Kinachokosekana ni mtaji wa kuizindua sokoni.

Nilicho nacho:

• Platform kamili (technical upande wote umekamilika)
• Mfumo wa malipo: mobile money na card
• Uwezo wa kuiendesha na kuiboresha mwenyewe

Ninachotafuta:

• Mfadhili atakayewekeza mtaji kwa ajili ya leseni, marketing na uendeshaji
• Mwenye nia ya muda mrefu

Makubaliano: Utapata equity kulingana na kiasi cha uwekezaji, kwa mkataba rasmi.

Kama unavutiwa, nitumie DM tuongee.
 
Back
Top Bottom