Habari wanajamii,
Nimeshajenga software ya betting, system iko tayari kutumika. Kinachokosekana ni mtaji wa kuizindua sokoni.
Nilicho nacho:
• Platform kamili (technical upande wote umekamilika)
• Mfumo wa malipo: mobile money na card
• Uwezo wa kuiendesha na kuiboresha mwenyewe
Ninachotafuta:
• Mfadhili atakayewekeza mtaji kwa ajili ya leseni, marketing na uendeshaji
• Mwenye nia ya muda mrefu
Makubaliano: Utapata equity kulingana na kiasi cha uwekezaji, kwa mkataba rasmi.
Kama unavutiwa, nitumie DM tuongee.